• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa watoa wito wa kuzingatia suala la uzazi wa mpango

    (GMT+08:00) 2018-07-12 19:35:16

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Idadi ya Watu wa Umoja wa Mataifa UNFPA Bi. Natalaia Kanem amesema, uzazi wa mpango si kama ni suala la haki ya binadamu, bali pia unaathiri haki ya wanawake, kupunguza umaskini na kutekeleza malengo ya maendeleo endelevu.

    Bibi Kanem amesema hayo katika maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani inayoadhimishwa Juni 11 kila mwaka. Amesema kutokana na ukosefu wa habari, huduma na msaada wa jamii, wanawake milioni 214 katika nchi zinazoendelea bado hawana njia yenye ufanisi na usalama ya uzazi wa mpango.

    Amesema, tatizo hilo gumu haliwezi kutatatuliwa na mfuko huo peke yake, bali linahitaji ushirikiano wa serikali za nchi mbalimbali, idara za binafsi na nguvu za jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako