• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tenisi: Serena Williams kuvaana na Angelique Kerber fainali ya Wimbledon Open

  (GMT+08:00) 2018-07-13 09:38:41

  Serena Williams atapambana na Angelique Kerber wa Ujerumani kwenye fainali ya michuano ya Wimbledon kesho jumamosi katika mchezo wa mpira wa tenisi, upande wa wanawake.

  Wawili hao watamenyana baada ya kushinda mechi za nusu fainali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako