• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • GOFU: Michuano ya Gofu kutimua vumbi Julai 19

    (GMT+08:00) 2018-07-13 09:46:21

    Jumla ya wachezaji 156 kutoka mataifa 21 pamoja na chipukizi 4 wamethibitisha kushiriki michuano ya mwaka huu ya KCB Karen Masters yatakayotimua vumbi kuanzia Julai 19 hadi 22 kwenye viwanja vya Karen County Club.

    Kenya itawakilishwa na wachezaji 32 ambao wanaifanya Afrika kuwa na zaidi ya asilimia 75 ya ushiriki katika michuano hiyo, iliyovutia mataifa mengine dunaini.

    Mataifa kutoka Marekani, Chile, Brazil, Australia na Uingereza zitashiriki michuano hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako