• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai 7-Julai 13)

  (GMT+08:00) 2018-07-13 17:07:15

  Rais wa China kufanya ziara nchini UAE, Senegal, Rwanda na Afrika Kusini

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema wiki hii, kwamba kuanzia tarehe 19 hadi tarehe 24 mwezi huu, rais Xi Jinping atafanya ziara rasmi nchini Falme za Kiarabu (UAE), Senegal, Rwanda na Afrika Kusini.

  Lu Kang amesema, kuanzia tarehe 25 hadi tarehe 27 mwezi huu, rais Xi atahudhuria mkutano wa 10 wa viongozi wa nchi za BRICS utakaofanyika nchini Afrika Kusini.

  Baada ya kumaliza ziara nchini hizo, rais Xi atafanya ziara ya kirafiki nchini Mauritius akiwa njiani kurejea China.


  1  2  3  4  5  6  7  8  9  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako