• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nafasi ya China imeongezeka tangu ijiunga na WTO

    (GMT+08:00) 2018-07-13 19:55:06

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Kimataifa (WTO) Roberto Azevedo amesema, tangu China ijiunge na Shirika hilo mwaka 2001, nafasi yake imeongezeka sana kutokana na kukua kwa uagizaji na uingizaji wa bidhaa.

    Amesema China imepitia tathmini yake ya saba ya Sera za Biashara (TPR) iliyofanywa na WTO kuanzia tarehe 11 hadi leo, na kuongeza kuwa China imefanikiwa kuwaondoa watu zaidi ya milioni 500 kwenye umasikini.

    Bw. Azevedo amesema anaamini kuwa China itakuwa sehemu ya juhudi zitakazolifanya Shirika hilo kuwa na mafanikio zaidi, na kutatua matatizo na nchi nyingine wanachama ili kuboresha mfumo wa biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako