• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 90 wauawa katika mapigano kati ya makundi ya Taliban na IS kaskazini mwa Afghanistan

    (GMT+08:00) 2018-07-13 19:55:27

    Zaidi ya wapiganaji 90 kutoka makundi ya Taliban na IS wameuawa baada ya kutokea mapigano kati ya makundi hayo katika wilaya ya Qush Tipa, mkoani Jawzjan, kaskazini mwa Afghanistan.

    Msemaji wa jeshi katika mkoa huo Mohammad Hanif Rezai amesema, wapiganaji 43 wa kundi la IS wakiwemo raia wa kigeni wameuawa katika mapigano hayo na wengine 32 wamekamatwa na wapiganaji wa kundi la Taliban, wakiwemo wanawake watatu.

    Hakuna kundi lolote lililotoa kauli kuhusu taarifa hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako