• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yalaani umwamba wa Marekani katika sekta ya teknolojia

    (GMT+08:00) 2018-07-14 16:17:16

    Marekani ni nchi inayotambuliwa duniani kwa kuwa na nguvu kubwa zaidi katika sekta ya sayansi na teknolojia, na inaongoza uvumbuzi wa kiteknolojia kwa pande zote, hata katika kipindi cha hivi karibuni Marekani inaona imetishwa na ushindani katika sekta za mawasiliano ya habari, roboti, viumbe na dawa, lakini nafasi yake ya ubora katika uvumbuzi wa kiteknolojia pia haitawezekani kuchukuliwa na nchi nyingine.

    Lakini katika siku za karibuni, Marekani ikichukulia kisingizio cha mgogoro wa biashara na imechukua hatua mfululizo peke yake kwa kuzuia mawasiliano na ushirikiano kati yake na China katika sekta ya sayansi na teknolojia, hata ilitoa ripoti isemayo"Jinsi uvamizi wa kiuchumi wa China unavyotisha teknolojia na hakimiliki za ubunifu za Marekani na dunia", halafu imepitia sheria kuhusu kuweka kanuni kuhusu makampuni ya nchi za nje kuwekeza nchini Marekani, hata imetumia teknolojia zake za hali ya juu kwa kuweka vizuizi dhidi ya nchi nyingine, na bila kujali kufanya "vita vya baridi", hayo yote yameonyesha umaalumu wa vitendo vyake vya umwamba katika sekta ya teknolojia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako