• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Yang Jiechi ahudhuria kwenye ufunguzi wa baraza la 7 la amani la kimataifa

    (GMT+08:00) 2018-07-14 16:29:13

    Baraza la saba la Amani la Kimataifa limefanyika Chuo Kikuu cha Tsinghua, mjini Beijing ambayo mada yake ni kujenga jumuiya ya usalama: Usawa, Uwiano, na Haki. Mkurugenzi wa Ofisi ya Mambo ya Nje Bw. Yang Jiechi amehudhuria ufunguzi wa baraza hilo na kutoa hotuba.

    Bw. Yang amesema kuwa chini ya uongozi wa fikra za kidiplomasia za Xi Jinping, China ina nia ya kufanya kazi na nchi zote kujenga dunia yenye amani ya kudumu na usalama, kukuza ujenzi wa jumuiya ya pamoja ya hatima ya kibinadamu, na kutoa mchango mpya kwa amani ya binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako