• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Israel yashambulia vituo vya kundi la Hamas kwenye ukanda wa Gaza

    (GMT+08:00) 2018-07-15 17:06:53

    Jeshi la ulinzi wa usalama wa Israel limetoa taarifa likisema, Israel imepeleka ndege za kivita kushambulia vituo zaidi ya kumi vya kijeshi vya kundi la kiislamu la Hamas.

    Taarifa hiyo imesema shabaha muhimu ya lengo la mashambulizi hayo ni kituo cha kijeshi kilichoko kaskazini mwa ukanda wa Gaza.

    Msemaji wa jeshi la Israel amesema jeshi la Israel limeshambulia mashabaha 40 ya kijeshi. Na hayo ni mashambulizi makubwa zaidi yaliyofanywa na ndege za kivita za Israel kwenye ukanda wa Gaza tangu mwaka 2014.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako