• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapinzani wa miji miwili kusini mwa Syria wakabidhi silaha kwa jeshi la serikali

    (GMT+08:00) 2018-07-15 17:18:51

    Jeshi la upinzani kwenye miji miwili mkoani Daraa nchini Syria juzi alasiri lilianza kukabidhi silaha zake kwa jeshi la serikali ya Syria, na kujiunga na makubaliano ya maafikiano na jeshi la serikali.

    Kabla ya hapo , chini ya usuluhishi wa Russia, vyama kadhaa vya upinzani mkoani Daraa vilifikia makubaliano mfululizo na jeshi la serikali, ambayo yaliwataka wapiganaji wa vyama vya upinzani wakabidhi silaha nzito na za kati, pia yamewaruhusu wapiganaji hao kwenda kwenye maeneo yanayodhibitiwa na vyama vya upinzani kaskazini mwa Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako