• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atuma salamu za pole kwa rais wa Pakistan kutokana na shambulizi la kigaidi

    (GMT+08:00) 2018-07-15 19:57:25

    Rais Xi Jinping wa China ametuma salamu za pole kwa rais Mamnoon Hussain wa Pakistan kutokana na shambulizi la kigaidi lililotokea nchini humo.

    Rais Xi amesema China inapinga kithabiti njia zote za kigaidi, na wananchi wa China siku zote wanasimama bega kwa bega na wapakistani , na kuunga mkono juhudi za Pakistan za kupambana na ugaidi, kulinda utulivu wa nchi na usalama wa watu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako