• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pompeo asema mazungumzo kati ya Marekani na Korea Kaskazini kuhusu kurudisha mabaki ya askari waliouawa yamefikia mwafaka

    (GMT+08:00) 2018-07-16 09:14:05

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amesema mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Marekani na Korea Kaskazini yaliyofanyika jana kwenye kijiji cha mpakani cha Panmunjom, kuhusu kurudisha mabaki ya askari wa Marekani waliouawa kwenye Vita ya Korea, yamefikia mwafaka. Hayo ni mazungumzo ya kwanza ya ngazi ya majenerali kufanyika kati ya nchi hizo mbili tangu mwaka 2009. Bw. Pompeo amesema pande hizo mbili zimekubaliana kuanzisha upya operesheni za kutafuta mabaki ya askari wapatao 5,300 wa Marekani waliopotea nchini Korea Kaskazini kwenye vita ya Korea kati ya 1950 na 1953.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako