• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia 2018: Sherehe ya kufunga michuano

    (GMT+08:00) 2018-07-16 10:46:48

    Licha ya kufuatiliwa na mamilioni ya watu kote duniani kwa njia ya runinga, sherehe za ufungaji michuano ya kombe la dunia mwaka 2018, pamoja na mechi ya fainali, baadhi ya viongozi mashuhuri dunia walihudhuria shughuli hizo za jana zilizofanyika kwenye uwanja wa Luzhniki mjini Moscow.

    Wakiongozwa na Rais wa FIFA Gianni Infantino, miongoni viongozi waliyohudhuria ni mwenyeji wa waandaaji wa michuano hiyo, Rais wa Urusi Vladmir Putin, Rais wa Croatia Kolinda Grabar Kitarović, na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na wote kwa pamoja walikuwa wageni muhimu kwenye shughuli hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako