• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiongozi mkuu wa Iran ahimiza Ulaya kuthibitisha utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya Iran.

    (GMT+08:00) 2018-07-16 17:06:15

    Kituo cha Televisheni nchini Iran kimesema, Kiongozi mkuu wa nchi hiyo Bw. Ayatollah Ali Khamenei amehimiza pande husika za Ulaya kutoa hakikisho la lazima kwa makubaliano ya nyuklia ya Iran.

    Bw. Khamenei amesema hayo alipohudhuria mkutano wa baraza la mawaziri la nchi hiyo. Amesema kutatua suala la uchumi wa Iran hakuwezi kutegemea utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya Iran, na kwamba bunge linatakiwa kuchukua hatua ili kukabili na athari zilizotokana na kujiondoa kwa Marekani katika makubaliano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako