• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania Air kuleta ushindani mkali kwa KQ, na RwandAir

    (GMT+08:00) 2018-07-16 19:21:47

    Tanzania Air, itaanza safari za moja kwa moja kutoka Dar es Salaam hadi Entebbe na Bujumbura baadaye mwezi ujao.

    Ushindani mkubwa kwa ndege ya Kenya Airways na RwandaAir.

    Shirika la kitaifa la ndege Tanzania, imesema itaanza ndege ya moja kwa moja mara nne kwa wiki kuelekea Entebbe kutoka Dar es Salaam na mara tatu kwa wiki kwenda Bujumbura.

    Ndege za moja kwa moja zitarahishisha usafiri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako