Pengo kati ya uagizaji na mauzo ya nje iliongezeka kwa asilimia 8.66 hadi Sh bilioni 494.26 kati ya mwezi Januari na Mei kutoka Sh bilioni 454.86 katika kipindi kama hicho mwaka 2017, takwimu iliyotolewa wiki iliyopita na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya (KNBS).
Uagizaji uliongezeka kwa karibu Sh bilioni 58.12, wakati mauzo ya nje iliongezeka kwa asilimia 7.53 hadi Sh bilioni 267.02.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |