• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki nchini Uganda hazijafurahishwa na mahitaji ya bodi ya sharia

    (GMT+08:00) 2018-07-16 19:23:07
    Kanuni za benki za Kiislamu zinahitaji kila mkopeshaji kuanzisha bodi ya Sharia.

    Benki hata, hivyo zinasema mahitaji yanaweza kusababisha gharama zisizohitajika.

    badala yake, wanapendekeza bodi ya shariah ya pamoja ili kutumikia sekta nzima chini ya utaratibu wa kugawana gharama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako