• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maandamano yaendelea nchini Iraq kupinga ukosefu wa ajira na huduma za kimsingi

    (GMT+08:00) 2018-07-17 09:21:46

    Wairaq wameendelea kuandamana mjini Baghdad na katika mikoa mingine kadhaa ya kati na kusini, wakipinga ukosefu wa ajira na huduma za kimsingi za maisha, ikiwemo umeme na maji ya kunywa. Waandamanaji wameahidi kuendelea na maandamano hadi serikali ya Iraq itakaposikiliza matakwa yao. Mpaka sasa hakuna vurugu zilizoripotiwa kwenye maandamano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako