• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kitabu cha "Tafiti za wazo la Xi Jinping la mageuzi na ufunguaji wa mlango" chachapishwa

    (GMT+08:00) 2018-07-17 16:07:02

    Kitabu cha "Tafiti za wazo la Xi Jinping la mageuzi na ufunguaji mlango wazi" kimechapishwa hivi karibuni na shirika la uchapishaji la Renmin la China, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 40 ya mageuzi na ufunguaji mlango.

    Kitabu hicho kinajulisha mustakabali wa kihistoria wa wazo la Xi Jinping la mageuzi na ufunguaji wa mlango wazi na chanzo cha nadharia, pia kimeeleza mchango mkubwa uliotolewa na wazo hilo huku kikitafiti mawazo muhimu ya mageuzi na ufunguaji mlango.

    Mhariri mkuu wa kitabu hicho ambaye pia ni mkuu wa Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha Taifa Bw. Shen Haixiong amesema,

    wazo hilo linaashiria uelewa wa chama cha CPC kuhusu mageuzi na ufunguaji wa mlango wazi kufikia kiwango cha juu zaidi kwenye historia, pia limeonesha uhalisi wa moyo wa wazo la ujamaa wenye umaalumu wa a kichina katika zama mpya la Xi Jinping.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako