• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mauzo ya Kenya nchini Tanzania yaongezeka

    (GMT+08:00) 2018-07-17 20:11:53

    Mauzo ya Kenya nchini Tanzania yamefikia asilimia 28.5 katika kipindi cha kwanza cha miezi tano ya 2018.

    Tanzania katika kipindi hicho imeagizia bidhaa za dola milioni 100 ikiwa ni ongezeko la asilimia 28 ikilinganishwa na kipindi sawa na hicho mwaka jana.

    Pakistan ambayo imesalia kuwa mwagiziaji mkuu wa Kenya ilinunua bidhaa za dola ,iliomi 229 hasa majani chai.

    Uholanzi nayo ilikuwa na ongezeko la ununuzi wa bidhaa za Kenya kwa asilimia 13 ikinunua sana maua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako