• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Seneta wa Marekani aihimiza serikali kugeuza dira ya sera za ushuru

    (GMT+08:00) 2018-07-18 09:17:05

    Mwenyekiti wa kamati ya fedha ya baraza la Seneti ya Marekani Bw. Orrin Hatch ameihimiza serikali ya Trump kugeuza mwelekeo sera zake za ushuru ambazo zinaweza kuleta madhara kwa makampuni na wateja wa Marekani. Bw. Hatch amesema serikali ya Trump imetelekeza au kutishia kutoza ushuru dhidi ya bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 500, hatua ambayo imewaweka hatarini familia na mashirika ya Marekani, na kutishia kuhujumu mafanikio ya mageuzi ya kodi nchini Marekani. Bw. Hatch amesema anapenda kushirikiana na serikali kurejesha mazungumzo na washirika wa biashara wa Marekani, na huu ni wakati kwa rais Trump kufanya hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako