• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mswada muhimu wa Brexit wapitishwa bungeni

    (GMT+08:00) 2018-07-18 09:17:24

    Mswada wa biashara uliotolewa na waziri mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May, ambao ni sehemu muhimu ya mpango wake wa Brexit, umepitishwa jana jioni kwenye baraza la makabwela. Ushindi huo wa Bibi May umekuja dakika chache baada ya marekebisho yanayoweza kukwamisha mpango wake kukataliwa na bunge.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako