• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makampuni yatajwa kutoa mchango mkubwa kwa ajenda ya mwaka 2030 ya Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2018-07-18 09:52:22

    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina Mohamed amesema makampuni yanatoa mchango mkubwa kwa ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030.

    Bibi Amina Mohamed amesema kwenye ufunguzi wa mkutano kuhusu malengo ya maendeleo endelevu kwenye biashara kuwa, kuwa makampuni yanatoa mchango katika kufanikisha Ruwaza ya mwaka 2030, yakiwa kama injini ya kuongeza nafasi za ajira, kupitia uvumbuzi wa teknolojia na kuwa vyanzo vya fedha, na kutoa fursa za ajira kwa wanawake, vijana na makundi ya watu walio kwenye hatari.

    Ameongeza kuwa makampuni binafsi pia yamekuwa na unyumbufu kwenye kufanikisha na kutumia mbinu mpya kwenye utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako