• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gofu, Uganda-Mashindano ya Entebbe 2018: Yaelezwa kuwa bora zaidi kitakwimu

    (GMT+08:00) 2018-07-18 10:54:03

    Mashindano ya mchezo wa Gofu ya mwaka huu ya Entebbe nchini Uganda yametajwa kuwa ndiyo mashindano bora zaidi kutokana na takwimu za ubora wa uchezaji na ubora wa matokeo zilizopatikana licha ya kuwa hakuna mchezaji aliyefanikiwa kupiga mpira mmoja hadi shimoni ili kujishindia gari jipya la kifahari lililokuwa limeandaliwa.

    Katika wachezaji wa kulipwa, mshindi alikuwa Herman Mutawe ambaye alizawadiwa fedha taslimu shilingi milioni 15, na mshindi wa pili akiwa ni Opio.

    Kwa upande wa wachezaji wa ridhaa, Goodlife Naibale aliibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake, na kwa upande wa wanaume mshindi wa kwanza alikuwa Joseph Cwinya-ai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako