• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya-Wakulima watishia kuachana na kilimo cha mahindi

    (GMT+08:00) 2018-07-18 20:11:11

    Baadhi ya wakulima katika kaunti ya Trans Nzoia nchini Kenya wametishia kuachana na kilimo cha mahindi katika msimu ujao kutokana na bei mbaya na kushindwa kwa serikali kuwalipa kwa wakati.

    Wakulima hao waliilaumu serikali kuu kwa kuchelewesha malipo yao ya zaidi ya Sh250 milioni.

    Wakulima wa mahindi wanaidai serikali Sh3.5bn za mahindi waliyopeleka katika ghala za kitaifa.

    Wakulima hao wanasema bado hawajauza mazao ya msimu uliopita kutokana na bei ya chini na kukosa soko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako