• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la CECAFA –Challenge kuanza kutimua vumbi leo mjini Kigali

    (GMT+08:00) 2018-07-19 08:32:03
    Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, (CECAFA Challenge) kwa wanawake itatimua vumbi leo mjini Kigali Rwanda.

    Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania (Kilimanjaro Queens) inatarajia kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya wenyeji Rwanda, huku Kenya inakutana uso kwa uso na Uganda.

    Timu zitakazoshiriki kwenye michuano hiyo ni wenyeji Rwanda, Ethiopia, Uganda, Kenya na Tanzania.

    Rais wa pili wa shirikisho la soka la Rwanda (FERWAFA) Bwana Habyarimana Marcel amesema kuwa maandalizi ya michuano hiyo yamekamilika na kuwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kuangalia burudani bora ya soka la wanawake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako