• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiwanja cha kisasa cha michezo kujengwa mkoa wa Kusini Unguja

    (GMT+08:00) 2018-07-19 08:32:21
    Wizara ya Vijana, Sanaa na Michezo Zanzibar, imewashukuru wananchi wa Kitogani wa mkoa wa Kusini Unguja kwa kukubali wito wa kujengewa kiwanja cha kisasa katika kijiji chao .

    Akitoa shukrani hizo kwa niaba ya rais wa Zanzibar, katibu mkuu wa wizara hiyo Omar King amesema kiwanja hicho kitasaidia kupanua michezo katika mkoa huo kwa kuwa kitatumiwa katika michezo mbalimbali ikiwemo soka, mpira wa pete, mpira wa wavu, riadha, na volleyball.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako