• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafanyakazi wa kampuni ya reli kati ya Mombasa na Nairobi wapata mafunzo hapa China

    (GMT+08:00) 2018-07-19 10:20:22
    Wafanyakazi wa kampuni ya reli kati ya Mombasa na Nairobi walipanda reli ya kasi ya G555 kwenda Wuhan kutoka Beijing ili kupata mafunzo ya kazi.

    Wafanyakazi hao wamejifunza vigezo vya kazi mbalimbali kwenye treni na njia ya kutoa huduma kwa abiria katika kampuni ya reli ya Wuhan.

    Mfanyakazi Eric amesema, "Wakenya wengi zaidi wanapanda treni, natarajia reli ya kasi itajengwa nchini kwetu, ili kurahisisha usafiri."

    Mfanyakazi Sharon amesema, "Tunathamini fursa hii ya kupata mafunzo hapa China, na tutatumia ujuzi huuo nchini Kenya, ili kuwapatia watu wengi zaidi huduma bora."

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako