• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanaviwanda wa Marekani wana wasiwasi kuhusu sera ya ushuru wa forodha

    (GMT+08:00) 2018-07-19 17:30:43

    Ripoti iliyotolewa jana na bodi ya Mfumo wa Shirikisho la Benki za Hifadhi nchini Marekani imeonesha kuwa, kuanzia mwisho wa mwezi Mei hadi mwanzo wa mwezi Julai mwaka huu, uchumi wa Marekani umeongezeka kwa utaratibu, lakini wanaviwanda wengi wana wasiwasi kuwa sera ya Marekani kuhusu ushuru wa forodha huenda itasababisha kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kusitisha utoaji wa mali ghafi.

    Mwenyekiti wa Mfumo huo wa Shirikisho la Benki Bw. Jerome Powell amesema, kama mfumuko wa bei wa Marekani utaongezeka kwa kasi kutokana na nchi hiyo kuongeza ushuru kwa nchi nyingine, sera ya Marekani kuhusu ushuru wa forodha itakabliwa na changamoto kubwa, kwani Mfumo huo wa Shirikisho la Benki huzuia kuongezeka kwa mfumuko wa bei kwa kupitia kuongeza riba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako