• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbegu bora kufanyiwa utafiti

    (GMT+08:00) 2018-07-19 20:33:24
    Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania inataka kuanza kutumia mbegu za utafiti ili kusaidia wakulima kuongeza mazao yao.

    Mkurugenzi mkuu wa tari amesema mbegu ambazo zitazalishwa na tari na kuuza ni mazao ya uchumi mazao yaliyopewa kipao mbele kuwasaidia wakulima kuongeza mali ghafi.

    Hatua hiyo ni baada ya wakulima kulalamikia mavuno duni.

    Wakulima wana imani wataboresha kilimo chao kutokana na mbegu zilizofanyiwa utafiti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako