• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gharama ya maisha kupanda

    (GMT+08:00) 2018-07-19 20:34:12
    Gharama ya maisha inatarajiwa kupanda zaidi katika siku 10 zijazo kutokana na ushuru mpya wa bidhaa.

    Kodi hii kando ya bajeti ilyowekwa mwezi uliopita.

    Ushuru huu mpya unahusu bidhaa kama , pikipiki ,shurubati na marurupu ya wafanyikazi.

    Watuamiaji pombe pia wataumia kwani bei itapanda.

    Hali inatarajiwa kuwa mbaya zaidi septeba wakati wa bidhaa za mafuta zitakapoanza kutozwa ushuru mpya VAT.

    Hii ni kutokana na kuongezwa kwa mafuta inayosababisha kupanda kwa bei za bidhaa za msingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako