• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 2,300 wafa kwa kipindupindu Yemen katika miezi 13 iliyopita

    (GMT+08:00) 2018-07-20 08:46:00

    Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa mataifa UNICEF limesema watu 2,311 wamefariki duniani kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, na matukio milioni 1.12 ya maambukizi ya ugonjwa huo yameripotiwa nchini Yemen katika miezi 13 iliyopita.

    UNICEF imesema idara za afya na mashirika ya misaada wanafanya juhudi zote kupambana na ugonjwa huo nchini Yemen, lakini changamoto zinazotokana na migogoro inayoendelea na kuharibika kwa mfumo wa huduma za afya wa nchi hiyo, vinahujumu juhudi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako