• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Takwimu kuhusu maoni ya raia zaonyesha Wamarekani wengi wanadhani kuongezeka ushuru si hatua nzuri kwa Marekani

    (GMT+08:00) 2018-07-20 18:23:19
    Takwimu kuhusu maoni ya raia zilizotolewa na Kituo cha Utafiti cha Pew cha Marekani zimeonyesha kuwa, asilimia 49 ya Wamarekani wanaamini kuwa kuongeza ushuru wa biashara si hatua nzuri kwa Marekani, na asilimia 40 wanaamini kuwa hatua hiyo ina faida kwa Marekani, na asilimia 11 hawana uhakika.

    Wakati huohuo, Shirika la Utangazaji la Columbia (CBS) limesema, zaidi ya nusu ya Wamarekani wanadhani vita ya kibiashara inayotokana na kuongeza ushuru itaharibu uchumi wa Marekani.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako