• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai 14-Julai 20)

  (GMT+08:00) 2018-07-20 20:19:54

  Kenya: Mahakama yapinga ombi la kuwaongezea marupurupu wafanyakazi 600 wa Kenya Meat Commision

  Wafanyakazi 600 wa shirika la Kenya Meat waliondoka mikono mitupu katika mahakama ya kuamua mizozo ya wafanyakazi kesi ya kuytaka nyongeza ya zaidi ya shilingi milioni 400 iliyotupiliwa mbali.

  Hakimu alitupilia ombi hilo la wafanyakazi hao la kutaka waongezewe mishahara na marupurupu mengine kwa zaidi ya asilimia 100.

  Halkimu alisema ombi hilo halijaiodhinishwa na tume ya kupiga darubini mishahara ya watumishi wa umma.

  Mahakama imesema kuwa ombi hilo liliwasilishwa kortini Machi 20 mwaka wa 2014 na lilikuwa linahusu mkataba uliofikiwa kati ya chama cha wenye viwanda vinavyotengeneza bidhaa za vyakula .


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako