• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai 14-Julai 20)

  (GMT+08:00) 2018-07-20 20:19:54

  Tunisia yajiunga na COMESA

  Tunisia imejiunga na kundi la nchi wanachama wa soko la pamoja la Masariki na Kusini mwa Afrika COMESA.

  Mwenyekiti wa zamu wa COMESA ambaye ni rais wa Madagascar Hery Rajaonarimampianina amekaribisha Tunisia kujiunga na soko hilo baada ya kutimiza matakwa yote.

  Rais Rajaonarimampianina nawaziri wa mambo ya kigeni wa Khemaies Jhinaoui, walisaini stakabadhi husika za kujiunga kwenye soko hilo katika mkutano wa 20 wa COMESA unaondelea huko mjini Lusaka, Zambia.

  Felipe Jaramillo kuongoza benki ya dunia Afrika Mashariki

  Rwanda, Kenya, Uganda na Eritrea zimepata mkurungezi mpya wa kikanda wa benki ya dunia.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako