• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai 14-Julai 20)

  (GMT+08:00) 2018-07-20 20:19:54

  Wafugaji wa samaki walalamikia lishe duni

  Wafugaji wa samaki nchini Rwanda wamelalamikia hali duni ya lishe la samaki wakisema inaathiri uzalishaji.

  Wanasema pia licha ya kuwa chakula wanachonunua ni bei ghali lakini ubora wake unasalia kuwa chini.

  Kilo moja ya lishe la samaki inauzwa kwa Rwf1,200 nayo kilo ya samaki wachanga ikiwa ni Rwf3,500.

  Wizara ya kilimo inasema uzalishaji wa samaki nchini humo ulitarajiwa kufika tani 29,000 mwaka jana serikali ikiwa na lengo la kufikia tani 31,000 mwaka huu.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako