• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Julai 14-Julai 20)

  (GMT+08:00) 2018-07-20 20:19:54

  Uganda: Taratibu mpya za kukagua nyumba zatolewa

  Mamlaka ya jiji la Kampala KCCA limechapisha upya taratibu za kujenga nyumba.

  Kulingana na taratibu mpya, wajenzi wa nyumba mpya watahitajika kukaguliwa kuhakikisha wahadisi wake wamehitimu na kufuatiliwa hadi nyumba kukamilika.

  Pia watahitajika kuweka vibao vyenye maelezo kwenye maeneo muhimu karibu na nyumba inayojengwa.

  Mkurungezi wa mipango kwenye mamlaka hiyo Moses Atwine Kanuniira, amesema kwa sasa wakakuzi wa majumba mapya huangalia vigezo kama vile muundo, umeme na ukuta wa usalama tu bila kuzingatia mambo mengine muhimu.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako