• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Israel yashambulia kituo cha kijeshi cha Syria katikati mwa Syria

    (GMT+08:00) 2018-07-23 09:34:59

    Shirika la habari la Syria SANA limesema Israel imeshambulia kituo kimoja cha kijeshi cha Syria kwenye eneo la Mesyaf, katikati ya Syria mapema jana.

    Wanaharakati wanaoiunga mkono serikali wamesema shambulizi hilo limeharibu kiwanda cha kijeshi kwenye eneo la Mesyaf, pembezoni mwa mkoa wa Hama, na vikosi vya ulinzi wa anga vya Syria vimejibu shambulizi hilo na kuzuia makombora kadhaa.

    Shambulizi hilo ni jipya kati ya mashambulizi mfululizo yaliyofanywa na Israel dhidi ya vituo vya kijeshi vya Syria nchini Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako