• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Afrika Mashariki na kati kwa wanawake.

    (GMT+08:00) 2018-07-23 11:18:19

    Michuano ya kombe la ubingwa wa mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa timu za wanawake inaendelea leo kwa mechi mbili zitakazopigwa mjini Kigali.

    Wenyeji Rwanda ambao waliibuka na ushindi wa goli 1-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Tanzania, leo wanacheza na Ethiopia ambao walipoteza kwa kufungwa magoli 2-1 walipocheza dhidi ya Uganda.

    Mechi nyingine itakayopigwa leo, itawakutanisha mabingwa watetezi wa mashindano hayo Tanzania, ambao watecheza dhidi ya Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako