• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hamilton ashinda mbio za Ujerumani

    (GMT+08:00) 2018-07-23 11:18:55

    Dereva Lewis Hamilton wa Uingereza ameshinda taji la mbio za magari ya mwendokasi za Ujerumani na kumfanya sasa aendelee kujiwekea mazingira mazuri ya kushinda ubingwa wa jumla wa mbio hizo mwaka huu.

    Mshindi wa pili kwenye mbio hizo alikuwa dereva mwingine wa timu ya Mercedes, Valtteri Bottas kutoka Finland, na nafasi ya tatu ikichukuliwa na dereva wa timu ya Ferari Kimi Raikonnen wa kutoka Finland.

    Ushindi huu ni wa nne kwa Hamilton katika mbio 11 zilizokwishafanyika mwaka huu akifungana na mjerumani Sebastian Vettel wa timu ya Ferari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako