• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania:Tanzania yalenga kuuza bidhaa zaidi  China

    (GMT+08:00) 2018-07-23 18:43:51
    Tanzania ina mipango ya kuendelea kushirikiana na China katika masuala ya uchumi.

    Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kuna changamoto ubwa ya kukuza zaidi uhusiano katika masuala ya kiuchumi kwa kuhakikisha Afrika inauza bidhaa nyingi zaidi nchini China.

    Rais Magufuli ameitaka China kuongeza uwekezaji barani Afrika hususani katika kilimo, viwanda na madini, na pia kukuza ushirikiano katika ujenzi wa miundombinu ya usafiri na umeme.

    Hivi majuzi ujumbe kutoka CPC umeongozwa na Waziri wa masuala ya uhusiano wa kimataifa wa CPC Song Tao na Afrika ulifika nchini Tanzania katika majadiliano ya maendeleo ya uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako