• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Shilingi ya Uganda yaimarika

    (GMT+08:00) 2018-07-23 18:44:19
    Shilingi ya Uganda imeendelea kuimarika katika mda wa wiki moja sasa dhidi ya dola.

    Hii ni mara ya kwanza kwa shilingi ya Uganda kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani kwa mda wa miezi miwili sasa .

    Mwanzo wa mwaka ,sarafu ya Uganda ilipoteza thamani kwa asilimia 8 baada ya kupanda kwa bei ya mafuta na kuporomoka kwa mfumo wa uchumi.

    Wiki hii dola moja ya marekani ni shilingi 3684 .

    Mwezi Juni kulingana na wataalamu wa foko la fedha ,Uganda imeweka zaidi ya shilingi bilioni 250 kwenye soko la hisa ili kuimarisha thamani yake dhidi ya fedha za kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako