• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA MAVUNO YA CHINI YA KAHAWA YA TARAJIWA MSIMU HUU

    (GMT+08:00) 2018-07-23 18:44:58

    Wafanyabiashara wa kahawa wameinua wameonyesha wasiwasi juu ya kemikali ya kilimo inayouzwa katika soko.

    Wakulima wanasema walinyunyuza dawa za wadudu kwa kahawa na kuweka mbolea kama inavyotakiwa lakini mazao msimu huu imelemewa na magonjwa tofauti na hapo awali.

    Imelazimu Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo Kenya kutoa ushauri kwa wakulima kuanza kuzuia kuenea kwa ugonjwa kwa zao hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako