• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA AfDB IMEAHIDI SH MILIONI 15 ZAIDI

    (GMT+08:00) 2018-07-23 18:45:14
    Benki ya Maendeleo ya Afrika imeahidi sh bilioni 15 kwa awamu ya pili nay a mwisho ya kuunganisha umeme ili kuhakikisha nyumba zote nchini zimeunganishwa ifikapo mwaka wa 2020.

    Benki ya bara ilikuwa tayari imetoa kiasi sawa kwa awamu ya kwanza ya mradi huo, na nyumba zaidi ya 600,000 zinatarajiwa kuunganishwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako