• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia na Iran zafanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nishati

    (GMT+08:00) 2018-07-24 10:08:32

    Waziri wa nishati wa Russia Bw. Alexander Novak na waziri wa mafuta wa Iran Bw. Bijan Zanganeh wamefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano kwenye sekta ya nishati.

    Kwenye mazungumzo yao, mawaziri hao wamejadili uwezekano wa kampuni ya mafuta na gesi ya Russia kushiriki kwenye mradi wa uchimbaji wa madini nchini Iran, na ushirikiano kwenye miradi ya miundo mbinu ya gesi.

    Vilevile mawaziri hao wawili wamezungumzia ushirikiano wa pande nyingi, hasa kupitia jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta OPEC na Baraza la nchi zinazosafirisha gesi nje GECF.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako