• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiongozi wa juu Timu ya Yanga ajiuzulu

    (GMT+08:00) 2018-07-24 10:32:10

    Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga ya Tanzania, Clement Sanga jana ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kutokana na shutuma na kashfa dhidi yake kutoka kwa wanachama na mashabiki wa klabu hiyo.

    Akizungumza na wandishi wa habari jana mjini Dar es Salaam kiongozi huyo alisema amefikia uamuzi huo hasa baada ya baadhi ya wanachama na mashabiki kutangaza kuwa wanajiandaa kwenda kufanya fujo nyumbani kwake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako