• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TP Mazembe kwenda Algeria leo kuifuata MC Algiers

    (GMT+08:00) 2018-07-24 10:33:13

    Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inatarajiwa kusafiri leo kwenda nchini Algeria kwa ajili ya mechi ya marudiano ya klabu bingwa Afrika dhidi ya MC Algiers ya Algeria itakayopigwa jumamosi ijayo.

    Mazembe ambayo inaongoza kundi B la mashindano kwa kuwa na alama 9, inaingia kwenye mechi hiyo ikiwa na kumbukumbu ya kushinda 1-0 kwenye mechi ya kwanza iliyopigwa mjini Lubumbashi wiki iliyopita.

    Katika kundi hilo, Mazembe imeshinda mechi zote tatu ilizocheza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako