• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uongozi wa Soka Ujerumani wakanusha tuhuma za ubaguzi

    (GMT+08:00) 2018-07-24 10:33:48

    Baada ya dunia kumwandama Rais wa shirikisho la mpira wa miguu la Ujerumani DFB Reinhard Grindell na kumhusisha na vitendo vya ubaguzi dhidi ya mchezaji wa timu ya taifa Mesuit Ozil, jana DFB imetoa taarifa ya kanusha madai hayo.

    Katika taarifa hiyo, DFB imeanza kwa kukiri kuwa Ozil ni mchezaji muhimu wa timu ya taifa, na DFB ilikuwa bado inamhitaji licha ya kuwa inaunga mkono kitendo cha yeye kuamua kustaafu kama ambavyo wachezaji wengine walifanya.

    Aidha DFB imeandika kuwa madai ya vitendo vya kibaguzi dhidi ya Ozil si ya kweli, na kwamba si kweli timu ikishinda furaha ni kwa wote, na kwamba si kweli kuwa timu ikishindwa lawama ni za wachache kama ilivyodaiwa na Ozil.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako