• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa tano wa Kongamano la kiraia kati ya China na Afrika wafungwa

    (GMT+08:00) 2018-07-24 19:34:44

    Kongamano la tano la kiraia kati ya China na Afrika uliloendeshwa na shirikisho la mawasiliano ya kimataifa la China na serikali ya mkoa wa Sichuan umefungwa huko Chengdu. Katika ufungaji wa mkutano huo, baraza hilo lilitangaza "mpango wa urafiki wa kiraia kati ya China na Afrika kuanzia mwaka huu hadi mwaka 2020".

    Mpango huo ulitolewa baada ya majadiliano kati ya mashirika ya kiraia ya China na ya Afrika, pamoja na miradi 30 ya ushirikiano wa kiraia itakayoanzishwa kwenye nchi za Afrika katika sekta za ushirikiano wa huduma za jamii, misaada, ujenzi wa uwezo, mawasiliano ya watu wenye vipaji, kuhimiza maendeleo, mawasiliano ya utamaduni na kuunda mfumo wa mawasiliano, na umeandaa mpango wa ushirikiano na mawasiliano ya kiraia kati ya China na Afrika katika miaka mitatu ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako