• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakimbizi 1,000 wa Syria warejea kutoka Lebanon wakati waasi wakiondoka kusini mwa Syria

    (GMT+08:00) 2018-07-24 19:50:01

    Wakimbizi 1,000 wa Syria wamerejea makwao kutokea Lebanon ndani ya saa 24, wakati waasi wakiondoka kusini mwa Syria.

    Hilo ni kundi la tatu kurejea Syria kuanzia mwezi Juni, wakati juhudi zikiendelea za kuwashawishi wakimbizi hao kurejea nchini mwao baada ya hali ya usalama kuboreka zaidi nchini Syria. Kundi la kwanza la wakimbizi lilirejea Syria Juni 28 wakitokea mji wa Arsal nchini Lebanon.

    Hivi karibuni, wizara ya mambo ya nje ya Syria iliwataka raia wa nchi hiyo waliokimbilia nchi za nje kurejea nyumbani kwa kuwa jeshi la serikali ya Syria limekomboa maneo mengi ya nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako